Header Ads

Trending Songs

LYRICS : ALIKIBA _KADOGO


      ALIKIBA _KADOGO LYRICS


    Yoooh … 001 aaah aaah ah... Iyo iyo iyo yeah.... Kadogo kanapenda keroro Keroro, keroro Kadogo kanapenda keroro Kembamba kadogo Kanapenda keroro [VERSE 1]:  Nikamuuliza, anatoka 254 Mombasa kwa wanjanja janja Ananikosha roho She must be there She would be there Wouh wo kadogo dogo Mnawakataa machali Mnawataka mamanzi Mnanikulia vako sio (eeh baba) Mnawataka maboys Mnawakata wadosi Mnanikulia vako sio (eeh baba) Mnawakata machali Mnawataka mamanzi Mnanikulia vako sio (eeh baba) Mnawataka maboys Mnawakata wadosi Mnanikulia vako sio (eeh baba) 


[CHORUS]:  Kadogo kanapenda keroro Keroro keroro Kadogo kanapenda keroro Kembamba kadogo Kanapenda keroro 


[VERSE 2]:  Akaja bongo aaah Akaja akaja bongo keroro Akitwika anayumba yumba keroro Naskia am in love sio kidogo Anaweza love ananikosha Kwa vile, vile Anavyodance aaah Ananikosha She must be there She would be there Wouwo kadogo dogo 


[PRE-CHORUS]:  Mnawakataa machali Mnawataka mamanzi Mnanikulia vako sio (eeh baba) Mnawataka maboys Mnawakata wadosi Mnanikulia vako sio (eeh baba) Mnawakata machali Mnawataka mamanzi Mnanikulia vako sio (eeh baba) Mnawataka maboys Mnawakata wadosi Mnanikulia vako sio (eeh baba) 


[CHORUS]:  Kadogo kanapenda keroro Keroro keroro Kadogo kanapenda keroro Kembamba kadogo Kanapenda keroro Kadogo kadogo dogo Kananimalizaaa Kananikosha rohoo rohooo Kadogo kadogo dogo Kananimalizaaa Nikosha rohoo Rohooo yangu weeeh  

Read more at: http://www.djfesto.com/2019/01/lyrics-alikiba-kadogo.html?m=1
dj-festo-google-play-store-Small-Baner-720x90

No comments