Header Ads

Trending Songs

VILIO VYATAWALA KWA BINTI ALIYEFICHWA KUFARIKI KWA FAMILIA YAKE WAKATI YEYE AKIWA SHULE (+ video)-Djfesto

Ni story ya kusikitisha ya Anna Zambi (16) ambaye amefiwa na Wazazi wake na Ndugu zake watatu waliopata ajali wakati wakienda kwenye mahafali yake Kilimanjaro Oct 26, 2019, alifichwa kuhusu vifo hivyo na amefahamishwa leo alipofika nyumbani kwao Goba DSM.
dj-festo-google-play-store-Small-Baner-720x90

No comments